Swahili Proverbs and their meanings fumbo za kiswahili na maana zake, methali za wanyama, methali za mapenzi
Friday, 23 May 2014
Mla mla leo mla jana kala nini?
Mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe
Mlenga jiwe kundini hajui limpataye
Mlimbua nchi ni mwananchi
mnywa maji kwa mkono moja,Kiu yake i pale pale
Moja shika,si kumi nenda urudi
Mpanda farasi wawili hupasuka msamba
Tuesday, 20 May 2014
Mpemba akipata gogo hanyii chini
Mpemba hakimbii mvua ndogo
Mpiga ngumi ukuta huumiza mkonowe
Mpofuka ukongweni,hapotewi na njia
Msafiri masikini ajapokuwa sultani
Msema pweke hakosi
Mshale kwenda msituni haukupotea
Monday, 19 May 2014
Mke ni nguo ,mgomba kupalilia
Mkamia maji hayanywi.
Mkamatwa na ngozi ndiye mwizi
Mjinga akierevuka mwerevu yupo mashakani
Miye nyumba ya udongo ,sihimili vishindo
Mgeni njoo mwenyeji apone
Friday, 16 May 2014
Mgema akisifiwa tembo hulitia maji
Mgaagaa na upwa hali wali mkavu
Mfukuzwa kwao hana pakwenda
Meno ya mbwa hayaumani
Mdharau biu,hubiuka yeye
Mchumia juani,hula kivulini
Sunday, 4 May 2014
Siku utakayokwenda uchi, ndiyo siku utakayokutana na mkweo
Siku utakayokwenda uchi,
ndiyo siku utakayokutana
na mkweo.
The day you go
naked, is the day you will
meet your father/
mother.in-law .
Sikio halipwani kichwa. Alt: Sikio halipiti kichwa
Sikio halipwani kichwa.
Alt: Sikio halipiti kichwa.
The ear does not surpass
the head.
Sikio halilali na njaa
Sikio halilali na njaa.
An
ear dots not go to bed
hungry (there's always
plenty of gossip).
Si kila mwenye makucha huwa simba
Si kila mwenye makucha
huwa simba.
Not all that
have claws are lions. cf All
that glitters is not gold.
Shoka lisilo mpini halichanji kuni
Shoka lisilo mpini
halichanji kuni.
An axe
with rio handle does not
split firewood.
Shimo Ia ulimi mkono haufutiki
Shimo Ia ulimi mkono
haufutiki.
A pit of (dug
by) the tongue cannot be
covered up by the hand
(words are more
dangerous). Cf. The pen is
mightier than the sword.
Shika! Shika! na mwenyewe nyuma
Shika! Shika! na
mwenyewe nyuma.
Hold
him! Hold him! and you
yourself after him (i.e. you
shouldn't expect others to
do all the work).
Samaki mmoja akioza, huoza wote
Samaki mmoja akioza,
huoza wote.
If one fish
rots, they all rot. cf. A
rotten apple spoils its
neighbours. A sickly sheep
infects the whole flock.
Shika! Shika! na21. Sahani iliyofunikwa, kilichomo kimesitirika
Shika! Shika! na21. Sahani iliyofunikwa,
kilichomo kimesitirika.
When a plate is covered,
its contents are hidden.
Sahani iliyofunikwa, kilichomo kimesitirika
Sahani iliyofunikwa,
kilichomo kimesitirika.
When a plate is covered,
its contents are hidden.
Monday, 28 April 2014
Mchuma janga hula na wakwao
Mchovya asali hachovi mara moja
Mchonga mwiko hukimbiza mkono wake
Mchimba kisima hungia mwenyewe
Mchezea zuri ,baya humfika
Mcheza hawi kiwete,ngoma yataka matao
Mcheka kilema hafi bila kumpata
Mchele moja mapishi mengi
Mchelea mwana kulia hulia yeye
Mchama ago hanyeli,huenda akauya papo.
Mchakacho ujao,halulengwi na jiwe
Mchagua nazi hupata koroma
Mbiu za mgambo ikilia kuna jambo
Mbio za sakafuni huishia ukingoni
Mbinu hufuata mwendo
Mavi usioyala,wayawingiani kuku
Saturday, 26 April 2014
Paka hakubali kulala chali
Paka hakubali kulala
chali.
A cat can never he
made to lie on its back.
303. Paka wa nyumba
haingwa. A cat belonging
to the house is not chased
away
Paka akiondoka, panya hutawala
Paka akiondoka, panya
hutawala.
when the cat
goes away, mice reign. cf.
When the cat's away, the
mice do play.
Thursday, 24 April 2014
Masikini na mwanawe tajiri na mali yake
Masikini haokoti,akiokota huambiwa kaiba
Masikini akipata matako hulia mbwata
Maneno mema hutowa nyoka pangoni
Manahodha wengi chombo huenda mrama
Majuto ni mjukuu
Maji yakimwagika hayazoleki
Mpanda ngazi hushuka
Tuesday, 22 April 2014
Maji ya kifufu ni bahari ya chungu
Thursday, 17 April 2014
Wednesday, 16 April 2014
Maji ya kifufu ni bahari ya chungu
Monday, 7 April 2014
Maji usiyoyafika hujui wingi wake
Maji ukiyavuliya nguo huna budi kuyaogelea
Maji huteremka bondeni,hayapandi mlima
Mafahali wawili hawakai zizi moja
Lisemwalo lipo,ikiwa halipo laja
Wednesday, 2 April 2014
Monday, 31 March 2014
Maji huteremka bondeni,hayapandi mlima
Mafahali wawili hawakai zizi moja
Lisemwalo lipo,ikiwa halipo laja
Friday, 28 March 2014
Leo ni leo asemayo kesho ni mwongo
Lake mtu halimtapishi bali humchefusha
La kuvunda (kuvunja)halina ubani
La kuvunda(kuvunja) halina rubani
Kwa mwoga huenda kicheko na kwa shujaa huenda kilio
Kuzima koleo si mwisho wa uhunzi
Monday, 24 March 2014
Kutoa ni moyo usambe ni utajiri
Kupanda mchongoma ,kushuka ngoma
Kunguru mwoga hukimbiza mbawa zake
Kulea mimba si kazi kazi kulea mwana
Kuku mgeni hakosi kamba mguuni
Kukopa harusi kulipa matanga
Wednesday, 19 March 2014
Kujikwa si kuanguka,bali ni kwenda mbele
To stumble is not falling down but it is to go forward.