Monday, 31 March 2014

Maji huteremka bondeni,hayapandi mlima


Maji huteremka bondeni,hayapandi mlima.

Water flows down the valley does not climb the hill.

Maji hufuata mkondo


Maji hufuata mkondo.

water follows current.i.e.swim with current.

Maiti haulizwi sanda


Maiti haulizwi sanda.

A dead person is not asked for a shroud

Mafahali wawili hawakai zizi moja


Mafahali wawili hawakai zizi moja.

Two bulls do not live in the same shade.

Macho hayana pazia


Macho hayana pazia.

Eyes have no screens,they see all that is within view.

Maafuu hapatilizwi.


Maafuu hapatilizwi.

You dont take viengeance on silliness.

Lisilokuwapo moyoni,halipo machoni


Lisilokuwapo moyoni,halipo machoni.

Out of sight out of mind.

Lisemwalo lipo,ikiwa halipo laja


Lisemwalo lipo,ikiwa halipo laja.

What is benig talked about is here,and if its not it's comming around behind.

Lipitalo ,hupishwa


Lipitalo ,hupishwa .

Things dont just happen by accidents

Lila na fila hazitangamani.


Lila na fila hazitangamani.

Good and evil will never mix.

Friday, 28 March 2014

Liandikwalo ndiyo liwalo


Liandikwalo ndiyo liwalo.

That which is written by God is what is

Leo ni leo asemayo kesho ni mwongo


Leo ni leo asemayo kesho ni mwongo.

Today is today who says tommorrow is a liar

Lake mtu halimtapishi bali humchefusha


Lake mtu halimtapishi bali humchefusha.

One's foul smelling does not sicken one self but merely disguts one

La kuvunda (kuvunja)halina ubani


La kuvunda (kuvunja)halina ubani.

They is no incence for something rotting.

La kuvunda(kuvunja) halina rubani


La kuvunda(kuvunja) halina rubani. 

A vessel running agroud has no captain.

Kwenye miti hakuna wajenzi


Kwenye miti hakuna wajenzi.

Where there trees,there are no builders.

Kwenda mbio siyo kufika


Kwenda mbio siyo kufika.

To run is not neccessarily to arrive.

Kwa mwoga huenda kicheko na kwa shujaa huenda kilio


Kwa mwoga huenda kicheko na kwa shujaa huenda kilio

.i.e.timidity often ends in a laugh, bravado in a lament.

Kuzima koleo si mwisho wa uhunzi


Kuzima koleo si mwisho wa uhunzi.

Cooling the tongs is not end of forging.

Kutu kuu ni la mgeni


Kutu kuu ni la mgeni.

Old rust is for the stranger.

Monday, 24 March 2014

Tembo

Kuku

KUKU - HEN (chicken)

kuku
Kuku mweupe


Kutoa ni moyo usambe ni utajiri


Kutoa ni moyo usambe ni utajiri.

Charity is the matter of the heart not of the pocket

Kupoteya njia ndiyo kujua njia


Kupoteya njia ndiyo kujua njia.

To get lost is to learn the way.

Kupanda mchongoma ,kushuka ngoma


Kupanda mchongoma ,kushuka ngoma.

You may climb a thorn tree,and be unable to come down

Kunguru mwoga hukimbiza mbawa zake


Kunguru mwoga hukimbiza mbawa zake.

The timid crow withdraws his wings from harm

Kunako matanga kume kufa mtu


Kunako matanga kume kufa mtu.

Where they is mourning someone has died.

Kulea mimba si kazi kazi kulea mwana


Kulea mimba si kazi kazi kulea mwana.

It is not hard to nurse a pregnency,but it is hard to bring up a child.

Kula kutamu ,kulima mavune


Kula kutamu ,kulima mavune.

Eating is sweet ,digging is weariness

Kuku mgeni hakosi kamba mguuni


Kuku mgeni hakosi kamba mguuni.

A new fowl always has string around its legs.

Kuku havunji yai lake


Kuku havunji yai lake.

A hen does not break her own eggs.

Kukopa harusi kulipa matanga


Kukopa harusi kulipa matanga.

Borrowing is like a wedding ,repaying is like mourning.

Wednesday, 19 March 2014

Kujikwa si kuanguka,bali ni kwenda mbele

Kujikwa si kuanguka,bali ni kwenda mbele.

To stumble is not falling down but it is to go forward.

Kuishi kwingi ni kuona mengi


Kuishi kwingi ni kuona mengi.

  To live long is to see much.

Kufa kwa mdomo,mate hutawanyika


Kufa kwa mdomo,mate hutawanyika.

When the head of the family dies,that family breaks up.

Kufa kwa jamaa, harusi


Kufa kwa jamaa, harusi.

The death of not a relative is a wedding.Compared to a death of a relative

Kufa kufaana


Kufa kufaana.

Death has its advantages too ie it benifits those who inherit.

Kuchamba kwingi,kuondoka na mavi


Kuchamba kwingi,kuondoka na mavi.

Leave well alone! You wont improve matters by going on tinkering

Kucha M'ngu si kilemba cheupe



The fear of God is not wearing a white turban.

Kuambizana kuko kusikilizana hapana


Kuambizana kuko kusikilizana hapana.

Giving advice but no one listens.

Kuagiza kufyekeza


Kuagiza kufyekeza.

 One eye of a master sees more than four of a servent.

Kozi mwandada ,kulala na njaa kupenda


Kozi mwandada ,kulala na njaa kupenda.

A goshawk is an egg child,if sleeps hungry its his own fault.

Monday, 17 March 2014

Kosa moja haliachi mke


Kosa moja haliachi mke.

One fault does not warrant divorce of a wife

Konzo ya maji haifumbatiki


Konzo ya maji haifumbatiki. 

A handfull of water can not be grasped.

Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza


Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.

A good thing sells it self a bad one advertises it self

Kiwi cha yule ni chema cha;hata ulimwengu uwishe


Kiwi cha yule ni chema cha;hata ulimwengu uwishe. 

The blindnes of that one is his good fortune

Kivuli cha fimbo hakimfichi mtu jua


Kivuli cha fimbo hakimfichi mtu jua.

Shadow of a stick canot protect one from the sun.

Kitanda usicho kilala hujui kunguni wake


Kitanda usicho kilala hujui kunguni wake.

You canot know the bugs of a bed that you have not lain on.

Kisokula mlimwengu,sera nale


Kisokula mlimwengu,sera nale.

what is not eaten by a man,let the devil eat it.

Kisebusebu na roho kipapo


Kisebusebu na roho kipapo.

Refusing and wanting at the same time

Kipya kinyemi ingawa kidonda


Kipya kinyemi ingawa kidonda.

A new thing is a souce of joy even if is sore

Kipendacho moyo ni dawa


Kipendacho moyo ni dawa.

What the heart desires is medicine to it.

Monday, 10 March 2014

Kinywa ni jumba la maneno


Kinywa ni jumba la maneno.

Mouth is the home of words

Kinyozi hajinyoi


Kinyozi hajinyoi.

A barber does not shave himself.

Kinga na kinga ndipo moto uwakapo


Kinga na kinga ndipo moto uwakapo.

One fire brand after another keeps fire burning

Kimya kingi kina mshindo mkubwa


Kimya kingi kina mshindo mkubwa.

Along silence followed by mighty noise

Kilio huanza mfiwa ndipo wa mbali wakaingia


Kilio huanza mfiwa ndipo wa mbali wakaingia.

The beareved begins the wailing latter others join

Kila ndege huruka na mbawa zake


Kila ndege huruka na mbawa zake.

Every bird flies with its own wings

Kila mwamba ngoma ,ngozi huivuta kwake


Kila mwamba ngoma ,ngozi huivuta kwake.

Every who streches a skin on a drum,pulls the skin own his own side.

Kila mtoto na koja lake


Kila mtoto na koja lake.

To every child his own neck ornament

Kila mlango na ufunguwo wake


Kila mlango na ufunguwo wake.

Every door with its own key

Kila chombo kwa wimblile


Kila chombo kwa wimblile.

Every vessel has its own waves

Wednesday, 5 March 2014

Kila chombo kwa wimblile


Kila chombo kwa wimblile.

Every vessel has its own waves

Ngamia

Ngamia
Ngamia

Punda

Punda
Punda

Jino

Jino
Jino
Jino
Jino

Kikulacho ki nguoni mwako


Kikulacho ki nguoni mwako.

That which eats you up is in your clothing

Kingiacho mjini si haramu


Kingiacho mjini si haramu.

That is fashionable in town is never prohibited

Kidole kimoja hakivunji chawa


Kidole kimoja hakivunji chawa.

One finger canot kill a louse

Kichango kuchangizana


Kichango kuchangizana.

Everyone should contribute when collection is made

Kiburi si maungwana


Kiburi si maungwana.

Arrogance is not gentlemanly

Kenda karibu na kumi


Kenda karibu na kumi.

Nine is near ten

Kelele za mlango haziniwasi usingizi


Kelele za mlango haziniwasi usingizi.

The creaking of the door deprives me of no sleep.

Kazi mbaya siyo mchezo mwema


Kazi mbaya siyo mchezo mwema.

A bad job is not as wothless as a good game

Kawia ufike


Kawia ufike.

Better delay and get there

Kawaida ni kama sheria


Kawaida ni kama sheria.

Usage is like law