Swahili Proverbs and their meanings fumbo za kiswahili na maana zake, methali za wanyama, methali za mapenzi
Friday, 23 May 2014
Mla mla leo mla jana kala nini?
Mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe
Mlenga jiwe kundini hajui limpataye
Mlimbua nchi ni mwananchi
mnywa maji kwa mkono moja,Kiu yake i pale pale
Moja shika,si kumi nenda urudi
Mpanda farasi wawili hupasuka msamba
Tuesday, 20 May 2014
Mpemba akipata gogo hanyii chini
Mpemba hakimbii mvua ndogo
Mpiga ngumi ukuta huumiza mkonowe
Mpofuka ukongweni,hapotewi na njia
Msafiri masikini ajapokuwa sultani
Msema pweke hakosi
Mshale kwenda msituni haukupotea
Monday, 19 May 2014
Mke ni nguo ,mgomba kupalilia
Mkamia maji hayanywi.
Mkamatwa na ngozi ndiye mwizi
Mjinga akierevuka mwerevu yupo mashakani
Miye nyumba ya udongo ,sihimili vishindo
Mgeni njoo mwenyeji apone
Friday, 16 May 2014
Mgema akisifiwa tembo hulitia maji
Mgaagaa na upwa hali wali mkavu
Mfukuzwa kwao hana pakwenda
Meno ya mbwa hayaumani
Mdharau biu,hubiuka yeye
Mchumia juani,hula kivulini
Sunday, 4 May 2014
Siku utakayokwenda uchi, ndiyo siku utakayokutana na mkweo
Siku utakayokwenda uchi,
ndiyo siku utakayokutana
na mkweo.
The day you go
naked, is the day you will
meet your father/
mother.in-law .
Sikio halipwani kichwa. Alt: Sikio halipiti kichwa
Sikio halipwani kichwa.
Alt: Sikio halipiti kichwa.
The ear does not surpass
the head.
Sikio halilali na njaa
Sikio halilali na njaa.
An
ear dots not go to bed
hungry (there's always
plenty of gossip).
Si kila mwenye makucha huwa simba
Si kila mwenye makucha
huwa simba.
Not all that
have claws are lions. cf All
that glitters is not gold.
Shoka lisilo mpini halichanji kuni
Shoka lisilo mpini
halichanji kuni.
An axe
with rio handle does not
split firewood.
Shimo Ia ulimi mkono haufutiki
Shimo Ia ulimi mkono
haufutiki.
A pit of (dug
by) the tongue cannot be
covered up by the hand
(words are more
dangerous). Cf. The pen is
mightier than the sword.
Shika! Shika! na mwenyewe nyuma
Shika! Shika! na
mwenyewe nyuma.
Hold
him! Hold him! and you
yourself after him (i.e. you
shouldn't expect others to
do all the work).
Samaki mmoja akioza, huoza wote
Samaki mmoja akioza,
huoza wote.
If one fish
rots, they all rot. cf. A
rotten apple spoils its
neighbours. A sickly sheep
infects the whole flock.
Shika! Shika! na21. Sahani iliyofunikwa, kilichomo kimesitirika
Shika! Shika! na21. Sahani iliyofunikwa,
kilichomo kimesitirika.
When a plate is covered,
its contents are hidden.
Sahani iliyofunikwa, kilichomo kimesitirika
Sahani iliyofunikwa,
kilichomo kimesitirika.
When a plate is covered,
its contents are hidden.