Tuesday, 7 April 2015

Heri kufa macho kuliko kufa moyo


Heri kufa macho kuliko kufa moyo.

It is better to lose your eyes than to lose your heart.

Heri kujikwa kidole kuliko ulimi


Heri kujikwa kidole kuliko ulimi.

Better to stumble with toe than toungue.

Hiari ya shinda utumwa


Hiari ya shinda utumwa.

Voluntary is better than force.

Hucheka kovu asiye kuwa na jeraha


Hucheka kovu asiye kuwa na jeraha.

He laughs at scar who has received no wound.

Ihsani (hisani)haiozi


Ihsani (hisani)haiozi.

Kindness does not go rotten.

Ikiwa hujui kufa,tazama kaburi


Ikiwa hujui kufa,tazama kaburi.

If you don't know death look at the grave.

Jina jema hungara gizani


Jina jema hungara gizani.  

A good name shines in the dark.

Jino la pembe si dawa ya pengo


Jino la pembe si dawa ya pengo.

An ivory tooth is not cure for the lost tooth.

Jitihadi haiondoi kudura


Jitihadi haiondoi kudura. 

Effort will not counter faith.

Jogoo la shamba haliwiki mjini


Jogoo la shamba haliwiki mjini.   

The village cock does not crow in town.

Kafiri akufaye si Isilamu asiyekufa


Kafiri akufaye si Isilamu asiyekufa. 

An infidel who does you good turn is not like a Muslim who does not

Kamba hukatika pabovu


Kamba hukatika pabovu. 

A rope parts where it is thinnest.

Kanga hazai ugenini


Kanga hazai ugenini.  

A guine- fowl not lay eggs on strange places

Kawaida ni kama sheria


 Kawaida ni kama sheria.

Usage is like law