Tuesday, 15 December 2015

Afadhali kuanza kuwa maskini kidogo kuliko kuwa tajiri mara


Afadhali kuanza kuwa maskini kidogo kuliko kuwa tajiri mara. 

Instead of being rich at once it is better to be poor first.

Afadhali asaidiaye kuliko afunguaye mdomo kucheka


Afadhali asaidiaye kuliko afunguaye mdomo kucheka.

 The one who helps is better than the one who laughs.

Afadhali achimbaye jiwe kuliko azuruaye


Afadhali achimbaye jiwe kuliko azuruaye (m.y. afadhali anayefanya kazi yo yote kuliko mvivu) .

 Setter the one who digs a stone than the one who loaves. (i.e. a worker is better than a lazy person).

Adabu ni ngao


Adabu ni ngao.

 Politeness is a shield.

Adabu ni johari ya moyo


Adabu ni johari ya moyo. 

Politeness is a jewel of the heart.

Adabu ni dhahabu

Adabu ni dhahabu. 

Politeness is gold.

Aangukaye kwao fuvu huwa safi


Aangukaye kwao fuvu huwa safi (Kihaya: Agwa owabo akaanga kera) . 

One who falls at his home or where there are his relatives, his skull shines.

Aambiwaye akasikia takuwa mhekima


Aambiwaye akasikia takuwa mhekima.

 One who receives instructions will be wise.