Friday, 27 March 2015

Mkosa kitoweo humangiria


Mkosa kitoweo humangiria.

One who has little relish must eat sparingly

Mkono usioweza kuukata,ubusu


Mkono usioweza kuukata,ubusu.

Kiss the hand you can not cut.

Mkono mtupu haulambwi


Mkono mtupu haulambwi.

An empty hand is not licked.

Mkono moja hauchinji ngombe


Mkono moja hauchinji ngombe.

A single hand can not slaughter a cow.

Usitukane wakunga na uzazi 'ungalipo


Usitukane wakunga na uzazi 'ungalipo. 

Speak no ill of midwives while childbirth still continues.

Mla kuku wa mwenziwe miguu humwelekeya


Mla kuku wa mwenziwe miguu humwelekeya.

He who devours his neighbour's fowl,its foot prints will give him away

Mkono moja haulei mwana


Mkono moja haulei mwana.

A single hand can not nurse a child