Monday, 28 April 2014

Mchuma janga hula na wakwao


Mchuma janga hula na wakwao.

He who earns calamity,eats it with his family.

Mchovya asali hachovi mara moja


Mchovya asali hachovi mara moja.

He who dips his finger into honey does not dip it once.

Mchonga mwiko hukimbiza mkono wake


Mchonga mwiko hukimbiza mkono wake.

The maker of wooden spoons saves his hand from fire.

Mchimba kisima hungia mwenyewe


Mchimba kisima hungia mwenyewe.

He who digs a pit will fall into it himself

Mchezea zuri ,baya humfika


Mchezea zuri ,baya humfika.

He who ridicules the good will be overtaken by evil.

Mcheza na tope humrukia


Mcheza na tope humrukia.

He who plays with mud will get splashed.

Mcheza kwao hutuzwa


Mcheza kwao hutuzwa.

He who dances at home will be rewarded.